Friday, 10 July 2020

CHUO KIKUU CHA MIPANGO CHATEKELEZA KWA VITENDO HADHIMA YA RAIS MAGUFULI KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA

Muhadhiiri Msaidizi  Nikolaus Ngowi wa Chuo cha MIPANGO amesema wamewawezesha wakulima wa Vitunguu thaumu jijini Mwanza Kwa kuwajea uwezo wa kukuza thamani na kuwafungia Soko la uhakika na bei nzuri ya kuuza Vitunguu thaumu.  Na Wakulima wamefanya Kwa Uchumi wao wa kipato kukua ukilinganisha na hapa mwanzo.  Muhadhiiri amesema wakulima wa Vitunguu thaumu jijini Mwanza wamepewa elimu,mafunzo na mbinu za ulimaji wa Kisasa Kwa njia ya Umwagiliaji wa kisasa na  matumizi ya mborea bora . Pia Wana Kiwania cha kukuza thamani ya Ngozi jijini Dodoma na kupelekea Soko la Ngozi kimekuja kubwa na thamani yake kuongeza . ametoa wito Kwa watu wote kukitumia chuo cha MIPANGO kwani kinafundisha viongozi wenye Uweredi,Uadilifu na wasio penda rushwa ndio maana viongozi hawa wamemsaidia rais Magufuli kufika Uchumi wa Kati kabla ya mwaka2025 na kufanya adhima ya Tanzania ya Viwanda kutekeleza Kwa Vitendo . Chuo Kikuu cha MIPANGO kimeaidi kufanya Tafiti zenye tija, kununua na kusimamia miradi mbalimbali na kuendelea kutoa viongozi Bora kwaajili ya kumsaidia rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda .amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment