Nasibu Katibu wa Elimu na Malezi wa Jumuhiya ya Wazazi CC M kata ya Mbagala Kuu amesema wapinzani wastarajie kupata nafasi za Ubunge,Udiwani na Urais kwani Chama cha CCM kimejipanga kimadhubuti na Imara kupata ushindi wa mafuriko
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment