Tuesday, 28 July 2020

MKULIMA WA KOROSHO AIFAGILIA SERIKALI

Hamisi Hassani Njomoke amempongeza rais Magufuli Kwa kuwajali na kuwathamini wakulima nçhini Tanzania amesema kupitia zao la Korosho kata ya Lukanga ameweza kupiga atua kubwa na kutoa ajira Kwa watu mbalimbali  Njomoke amemuomba serikali aweze kusaidiwa kupata Mashine za kubangua Korosho na Dawa Aina ya Rava zipatikane Kwa wingi Tanzania pamoja na kupatikana Salfa ya maji hii itaongeza uzarishaji mkubwa wa Korosho na wenye tija na Kasi

Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment