Angaja amesa wameamuwa kufanya kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu wa Mkoa wa Dsm kutoka kwenye vyamabalimbali vya siasa Lengo kuwajea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu kuweza kujitokeza Kwa wingi kuweza kuchapisha viongozi katika ngazi ya Ubunge ,Udiwani na Urais pia wanafunzi waweze Kiwania kwenye nafasi hizi za Ubunge na Udiwani Angaja amesema kongamano ili lefanikiwa Kwa kupata wanafunzi elfumoja na Mia mbili 1200 wataelekea kufanya makongamano kwenye Mikoa ya Mwanza,Kilimanjaro,Arusha na Mikoa mingine
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment