Wednesday, 1 July 2020

TCRA YASHUSHA RUNGU KWA VYOMBO VYA HABARI

Global TV milioni 7 Duma TV milioni 7 Claude TV milioni 5 Star Tv milioni 5 Sibuka Tv milioni 3 Abood Radio milioni 2 East Africa Radio milioni3 Mamu FM radio milioni3 Planet Radio milioni2 na laki 5 Ayo TV milioni2 Mwenyekiti wa Maudhui wa Mamlaka Tanzania (TCRA) amesema licha ya vyombo giving vya habari kutozwa pesa vimepewa onto Kali ametoa wito Kwa wanahabari kuzingatia Sheria,kanuni na taratibu katika kuwasilisha Maudhui Yao Habari na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment