Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Soko la Bidhaa Agustino Ngurumbi ameamuwa kuja na mfumo wa TMX ili wakulima waweze kuuza Bidhaa zao Kwa uhakika na Uraisi zaidi na kuwaraisishia wanunuzi wa mazao waweze kununua mazao popote walipo duniani Agustino Ngurumbi amesema mfumo huu umeweza kuongeza thamani ya mazao mfano zao la Ufuta kutoka tani1000 mpaka tani elfu16 na mazao mengine ikiwemo zao la Korosho na kuongeza bei za mazao Kwa wakulima amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment