H.O.D amesema Chuo Chao cha Arusha kinawaandaa wanafunzi wao ili waweze kujiajili ama kuajiliwa wanawapa nafasi ya kupata elimu Kwa watu wenye ulemavu ivyo amewataka watu wote waweze kujiunga na chuo chao Jeradi T Marisa amesema pia Wana Tawi DSM, abati mkoani Manyara na Arusha amesema haya kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment