Tuesday, 7 July 2020

WIZARA YA ELIMU YAWAKOMBOA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU

Naisibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Tekinolojia Agre Maria Sema Kafu amesema wametoa kiasi cha pesa bilioni 2.3 bazo zimetumika kununua vifaa saidizi Kwa wanafunzi wenye ulemavu kuanzia shule zamsingi Hadi sekondari Lengo wanafunzi wenye ulemavu waweze kufanya vizuri kwenye Masomo yao


Habari na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment