Mwalimu Fikh Mtavilah amesema Chuo cha Uhasibu Arusha kinatoa kozi saba7 za Cheri, diproma kozi 16 na Kwa ngazi ya digrii na masters mafunzo Yao yanasaidia Kwa kiasi kikubwa katika hadhima ya rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda ametoa wito Kwa watu wote wajiunge na chuo Cha Uhasibu Arusha Kwa elimu Bora na kupata furusa ya kuajiliwa ama kuajiliwa amesema haya kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
Hongereni kwa kazi nzuri
ReplyDelete