Hasumani Nyamrani ni Mtia nia ndani ya CCM kata ya Kijichi Kwa ngazi ya Udiwani ambapo amepata Kura 38 Kati ya 173 zilizopigwa .amekishukuru tume ya uchaUcha CCM kwenye kata ya Kijichi Kwa Kuendesha na kusimamia uchaUcha wa Uhuru na Haki usiokuwa na mizengwe wala makandokando ameaidi kumuunga mkono mjombea yeyote atakaye state pewa nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Mwezi 10 mwaka huu 2020
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment