Meneja Masoko wa Kampuni ya DARLING Maria Kasanga amesema leo hii wamuwa kuingia mkataba mwingine na msanii wa Bongo freva Nandi .Lengo kutangaza Bidhaa za rasta Aina ya Crochet na Weaving amesema baada ya Nandi mwanzoni kuwa barozi wao Bidhaa zao zimekubalika na kununua Kwa kiwango kikubwa pia amewshukuru wateja wao na mashabiki wa Nandi Kwa kuwaunga mkono ametoa wito watu waendelee kununua Bidhaa zao na wamfuatilie Nandi kwenye Mitandao ya Kijamii amesema haya SERENA Hotel jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment