Thursday, 9 July 2020

TRA YAWAKARIBISHA WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA

Meneja wa huduma wa TRA Honesta Ndunguru amewataka watanzania na wasiowatanzania kujitokeza kwenye Banda la TRA ndani ya Viwanja vya Saba Saba waweze kutatuwa changamoto walizo nazo katika maswala ya Kodi na kujenga uwezo wa namna ya kulipa Kodi na kuelezwa faida za ulipaji Kodi TRA inawapongeza na kuwashukuru walipa Kodi wote Honesta Ndunguru amesema TRA inamalizia mpango wa kuandaa maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya watu wasio Ona ili waweze kujifunza na kuelimika na kutambua umuhimu wa kulipa Kodi

Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment