Meneja Uhusiano na Elimu Kwa Umma NSSF Lulu Mengele amesema wameanzisha Mifumo ya Kidigitali katika kutoa huduma ,wameanzisha dawati la malalamiko na majibu tanatolewa Kwa wakati na usiri mkubwa .Pia mtu anaweza kuweka mchango wake wa Pesa Kwa kutumia Simu ya mkononi wamefanya ivi Lengo kuondoa Usumbufu na kuokoa muda na gharama za wateja wao kufika kwenye Ofisi zao Lulu Mengele amesema baada ya mabadiliko ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii NSSF inawasajili watu ambao wamejiajili wenyewe na walioajiliwa juhudi hizi zote zinaendana na Kasi ya rais Magufuli Kuelekea Tanzania ya Viwanda ili baada ya mtu kuzeeka aweze kupata mafao yake ya Uzeeni na kuondokana kuwa tegemezi na kuomba omba .Ametoa wito Kwa Mama
Lishe ,Baba Lishe,Wakulima,Wafugaji,Watu wenye Ulemavu,Wavuvi ,Wajasilia Mali na Makundi mengine wajiunge na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF ili Mafao yenye tija na mazuri wakati wa Uzeeni yasiyokuwa na Usumbufu wala Ubabaishaji na Pia amewatoa Ofu wanachama wao na wanaotaka kujiunga Usalama wa Pesa zao ni mkubwa na Pesa wanaweza kuweka kidogo kidogo na wataunganishwa na furusa mbalimbali na Kila Mwezi Kasi ya NSSF inaongezeka Lulu Mengele amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment