Muhadhiri wa Chuo Kikuu cha UDOM Absalom amesema ameamua kufanya Utafiti na kuwawezesha wanafunzi wa kitanzania wapende kusoma masomo ya Hisabati Kwa kuwataka Walimu wa mashuleni watumishi rugha rafiki ya kufundisha somo la Hisabati na kuwapa mbinu ya kufundisha Kwa makundi . Baada ya kufuatilia wamebaini mbinu zao zimefanikiwa Kwa wanafunzi kupenda somo la Hisabati na wanafunzi wanafanya vizuri kwenye masomo Yao ya Hisabati ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla ya kupewa mbinu na chuo Kikuu cha UDOM amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment