Friday, 3 July 2020

CUF YAMKARIBISHA MEMBE KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF prof Lipumba amesema mpaka sasa Tanzania Viaiwani waliochukua fomu ya Urais na Kwa Tanzania hara mtu mmoja Pia Lipumba amekanusha kuwa Benadi Membe ajachukuwa fomu ya Urais kupitia CUF ivyo amemtaka kama anataka kugombea kupitia Chama cha CUF amemuomba achukue Kadi ya uanachama Kwanza ametoa wito Kwa viongozi wa Mikoa na wilaya kuacha kutoa taarifa zenye utata kuwa uchaguzi mkuu wa madiwani wabunge na Urais watapita bila ya kupingwa pia amemtaka ukitaka katibu Mkuu mpya wa Chama cha CUF Habari na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment