Meneja Mafunzo wa Makao Makuu SIDO Stephin Bondo amesema Lengo la kutoa mafunzo ni kuwaandaa na kuwatengeneza mabilionea wa kitanzania Kwa kuwajengea uwezo wa namna ya kutengeneza Bidhaa zao Kwa ubora na ufanisi mkubwa . Pia SIDO inatoa mafunzo Kwa watu ambao wanaenda kuwafikisha watu wengine Meneja wa SIDO amesema watu wenye ulemavu wamewafikia Kwa kiwango kikubwa Kwa kuwapa mafunzo ya ujasiliamali amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment