Friday, 10 July 2020

WASICHANA WALETA MAPINDUZI MAKUBWA

Kampuni ya NIVEHA  wameamuwa kuja na Bidhaa  ya Madura ya Nazi ,rosheni na Bidhaa Ingine Lengo kuweza kuimarisha Ngozi za watanzania na wasio watanzania Wasichana hawa no noma kuwaunga mkono Kwa kiasi kikubwa Kwa kununua Bidhaa zao na serikali kuwawekea masingira rafiki ya ufanyaji wa biashara zao kwani no wazarendo na wanamuunga mkono rais Magufuli katika Kuelekea Tanzania ya Viwanda amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment