Ashim Kambi amewataka watanzania na wasio watanzania kufuatilia tamthiria yake inayozungumzia maswala ya uongozi ambako ameshirikiana na msani wa kike Odama Lengo kuelimisha,kufungua jamii maswala ya uongozi amewataka watu kujifunza na kubadilika kupitia tamthiria yake Kwa kupitia SWAHILI FILX
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment