Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa amesema nivema Wanasiasa wafanye Siasa Safi zisizokuwa na uchochezi Uku akisema kwaatakaye Fanya mambo ya uchochezi hatua Kali zitachukuliwa dhidi yake Ivyo amewataka Wanasiasa hawa washindane Kwa Oja zenye kuleta tija Kwa wananchi na Taifa Kwa ujumla amesema haya ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini DSM
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment