Mtia Nia Udiwani kwa chama cha CCM kata Kijichi Bazili amesema amewshukuru tume ya Uchaguzi Kwa kuweza kupiga Kura Kwa uwazi na haki na kwautulivu .pia atakuwa tayali kushirikiana na Mgombea atakaye peperusha bendera ya CCM Udiwani Kijichi na ameaidi kushirikiana na Chama CCM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment