Tuesday, 21 July 2020

NANDI AFICHUA SIRI YA KAMPUNI YA DARLING

Msanii wa Kizazi Kipya Nandi amesema chanzo cha Kampuni ya DARLING Kuendeleza Mkataba Kati yake na Kampuni hii baada ya Kutangaza Vizuri na Vema Bidhaa zao za Rasta Aina ya SOFT TOUCH,ROSHENI na PASSION TWIST Nandi amesema kujieshimu kwake ndiko kumemfanya apate  furusa amewataka wasanii hapa nchini wajieshimu ili waweze kupata furusa za kuwa mabarozi ambako itawasaidia kupata kipato na kujikimu kiuchumi ametoa Rai Kwa watu wote waweze kutumia Bidhaa za Kampuni ya DARLING kwani zinauzwa bei  nafuu amesema haya kwenye hotel ya SERENA jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment