Muhadhiri wa Chuo cha SAUT MBEYA amewataka watanzania na wasiowatanzania kuweza kujiunga na Chuo cha SAUT MBEYA kwani wanatoa huduma Bora na swala la miundombinu ni rafiki na chuo kipo katikati ya Jijini la MBEYA Muhadhiri Idala ya Sayansi ya Jamii .Elisha Nkwija amesema watakuwa na kozi mpya ya Sheria na Uhasibu kwani wanasubili kibari kutoka TCU amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment