Wednesday, 1 July 2020

SWAHILIFLIX YAJA NA MIKAKATI MIZITO

    MUIGIZAJI MAARUFU NNCHINI ODAMA
Swahiflix app inayofanya vizuri sana katika tasnia ya filam nnchini imekua ikiimarika siku hadi siku toka kuanzishwa kwake. Wananchi wameipokea kwa mtazamo chanya kwani wameweza kutazama filam wazipendazo mda wowote.
Akizungumza na mbudifo blog, muigizaji wa kitanzania Odama amesema wamejipanga ili kuweza kuwafikia watu wengi zaidi hasa afrika mashariki yote kwa ujumla ili kuweza kukuza zaidi soko la filam za kitanzania
Habari Picha na Reuben Mauya

No comments:

Post a Comment