Friday, 3 July 2020

SERENA YAFUNGUA HOTEL YAO

Edwin Chemisto General Manager wa Serena Hotel baada ya tamko la serikali la kupunguwa  kwa virusi vya CORONA wao wameamuwa kufungua hotel Yao Kwa kuzingatia kanuni,taratibu na Sheria za Wizara ya Afya Kwa wafanye na watakao watakao kwenye hotel yao kwaajili ya kupata huduma ivyo amewataka watu wite kwenda kupata huduma kwenye hotel Yao



Habari picha na Ally Thabit


No comments:

Post a Comment