Kwa miaka mitano ya rais Magufuli kituo cha Uwekezaji kimetekeleza Kwa Vitendo Irani ya Chama cha CCM Chini ya rais Magufuli Kwa kuwavutia wawekezaji na kuja kuwekeza Tanzania ambako wameweza kufanya makongamano kwenye Mikoa 19, Uwekezaji wa mifumo mbalimbali ya malipo kwenye Uwekezaji kupinga rushwa Kwa watumishi wa TIC Jofrei Mwambe Mkurugenzi wa TIC amesema miradi ya Dora bilioni 20.438 wametekeleza Kwa Vitendo Idadi ya miradi 1312 na Ajira laki moja 174101 za moja Kwa moja Kwa watanzania na wasio watanzania asilimia54 nusu yake Uwekezaji umefanyika kwenye viwanda
Ametoa wito Kwa wanahabari kuitangaza vizuri TIC waache kuipaka matope
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment