Friday, 3 July 2020

RED CROSS YAWAFIKIA WATANZANIA KWA KARIBU ZAIDI

Rais wa Red Cross nchini Tanzania Devidi Kwa niaba ya TRCS amesema nimepokea vifaa Genereta ,router na Simu zenye muda wa maongezi Kwa muda wa miezi 6 ambavyo vifaa vyote vina jimla ya guarana ya shilingi milioni 54550000  amewapongeza  IFRC Kwa msaada waliotoa amehaidi vifaa walivyopewa watavitumia vizuri Kwa malengo yaliokusudiwa na pamoja na kuvitunza  Pia Red Cross Tanzania imezinduwa namba ya bile Kwa watakao hitaji huduma au ushauri kuusu maafa Kwa kupiga namba 0800750150 Tanzania nzima bila malipo


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment