Mwenyekiti wa TLP Agustino Yatonga Mlema amewataka watu wenye ulemavu nchini Tanzania kuchukua fomu kwaajili ya kushiriki kwenye kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo Ubunge na Udiwani kupitia Chama cha TLP pia Mlema amehaidi kushirikiana na vyama vyote vya watu wenye Ulemavu
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment