Friday, 10 July 2020

MWALIMU WA CHUO KIKUU CHA UDOM AWAKOMBOA WAKULIMA WA TANZANIA

Muhadhiri Cevene MtafitiMta Chuo Kikuu cha UDOM amesema amefanya Tafiti na kubaini kuwa baadhi ya pembejeo za nje ya nchi zinaleta Uchafuzi wa Mazingira, zinauzwa bei ghari na kupatikana wake ni watabu . Ndio maana chuo hiki kimekuja kutatua changamoto za wakulima Kwa kutengeneza dawa za mazao, zisizokuwa hathari za mazingira pamaja na kulinda Afya za wakulima . Ametoa wito Kwa jamii ya wakulima,wadau wa kilimo ,serikali na watafiti kuwepo na Muunganiko Kati yao ili Tafiti zinazofanywa zilete tija na zitatue changamoto kama ilivyo kusudiwa .amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment