Tuesday, 7 July 2020

MWANA MAMA MTIA NIA NAFASI YA URAIS CHADEMA AKANUSHA TAARIFA ILIOTOLEWA NA JAMVI LA HABARI

Mwanamke Mtia Nia nafasi ya Urais kupitia Chama cha Chadema Mayrose Kavura Majinge amesema anasikitishwa na taarifa zilizochapishwa na JAMVI la habari kwamba yeye anataka kuzungumzia maswala ya Tundu Lisu habari hizi si za kweli kwani ameamua kutia Nia ya kuchukua fomu Kwa nafasi ya Urais Lengo kutatuwa matatizo ya kijamii ivyo amewataka wanachama na wasio Chadema wajitokeze Kwa wingi Makita la saa tano asubuhi tarehe 7 Mwezi 7 2020 makao makuu Ofisi za Chadema washuudie anavyochikua fomu na kutoa ya moyoni katika kuwakimboa watanzania


Habari na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment