Saturday, 4 July 2020

STIVU NYERERE AWAFUNDA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU


Msanii Nguri Stivu Nyerere amewataka vijana nchini Tanzania waweze kujitokeza Kwa wingi kugombea nafasi za Ubunge ,Udiwani na Urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ametoa wito Kwa wanahabari Iringa waweze kumpq furusa ya kumpa nafasi ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini



Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment