Zamaradi Mtetema amewataka wanawake wenye sekta ya Uigizaji kujitokeza Kwa wingi kwenye Viwanda vya Saba Saba kwenye Banda lake ili kuonyesha bidhaa zao Lengo waweze kutamburika na kujitangaza ndani ya nchi na nje ya nchi
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment