Mwandisi Enelisa Andengulile wa Chuo cha Uwalimu VETA Morogoro amesema chuo chao kinafundisha Walimu ambao wanaoenda kufundisha kwenye vyuo vya VETA Tanzania amewataka watanzania kujiunga na Chuo cha Uwalimu VETA Morogoro (MVTTC) ili wakafundishe kwenye vyuo vya VETA vya Mikoa na wilaya amesema haya kwenye maonyesho 44 ndani ya vya sabasaba
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment