Dr Habdalah Nyangalio ni fundi wa kushona nguo asiye ona ameamua kuwafundisha bure watu wenye ulemavu wa Aina zote .Lengo wajikwamuwe kiuchumi na easier tegemezi Kwa jamii mpaka sasa hapa Tanzania amewafundisha ushonaji wasio Ona ,wenye uharibino,na wenye ulemavu wa viungo anapatikana ndani ya Viwanja vya sabasaba Temeke jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment