Thursday, 16 July 2020

MENEJA MASOKO WA SPEEDY PRINT LIMITED ATOA NENO KWA SIDO

Kaimu Muhene amewapongeza SIDO Kwa kuwawezesha kutangaziwa Bidhaa zao kwenye maonyesho ya 44 ndani ya Viwanja vya sabasaba kupitia SIDO wameweza kuongeza wigopana wa kupata Masoko makubwa na ya uhakika .Meneja Masoko Kasimu Muhene amewataka watu wote wanunuzi Bidhaa zao za Sabuni pamoja na Vitakasa Mikono kwaajili ya kuimarisha Afya zao pamoja na Ngozi zao


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment