Thursday, 9 July 2020

BOT YAWEKA HAZARANI FAIDA ZA UCHUMI WA KATI

Shamy Chamicha Afsa Mipango  Mwandamizi wa Kurugenzi wa Utafiti,Sera na Uchumi amesema faida zinazopatikana kufika Uchumi wa kati Tanzania tutapewa misaada bila mashariti magumu nchi itajitegemea yenyewe Shamy amesema Jambo liliopelekea be mpaka kufika Uchumi wa Latino utendaji mkubwa wa kazi Kwa watanzania Kwa Kila sekta ametoa wito Kwa watanzania wafanye kazi Kwa Kasi kubwa amesema haya kwenye Viwanja vya Saba Saba kwenye maonyesho ya 44


Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment