Saturday, 4 July 2020

AIKA REGNADI AWATOA MCHECHETO WANAWAKE

Aika Regnadi Mwanafunzi wa Chip cha Dipromasia amewataka wanawake nchini Tanzania pamoja na wasichana wenye sofa za kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na Urais wajitokeze Kwa wingi kuchukua fomu kwenye vyama vyao kwani wanawake na wanauwezo mkubwa wakiwa viongozi nchini Tanzania     Ametoa wito Kwa wanawake kutoka Tamaa na kubweteka amesema haya kwenye kongamano la kuwajea uwezo vijana kwenye nafasi za uongozi nae Kwa upande wake Ademedeusi Kavishe wa chuo cha Dipromasia amewapongeza waliotoa kongamano hili uku akiwataka kuandaa makongamano mengine ya kujenga uwezo wa kiuchumi na namna ya kuweza kujiajili ambako zaidi ya wanafunzi elfumoja na miambili1200 wameshiriki na wameweza kuelimika n maswala ya uongozi


Habari picha na Ally Thabit



1 comment: