Mariam Mwanakijiji wa Lukanga amesema kitendo cha Njomoke kuwapa ajira kwenye shamba lake ameweza kuwasaidia wanakikubali wa app kwani wanaotaka pesa za kujikimu na kujikwamua kimaisha ambako apo mwanzo walikosa kupata huduma za kijamii Kwa Kutokuwa na pesa .ametoa wito Kwa serikali kuweza kumuwezesha Njomoke Kwa kumpa Nyenzo mbalimbali za kilimo napembejeo
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment