Makamu wa rais wa awamu ya 4 Kharidi Bilari amezitaka shule za secondary hapa nchini kutoa elimu bora na yenye tija kwa wanafunzi na Taifa . pia ameipongeza shule ya Feza kwa kuwa vinara kwenye mitihani ya Taifa
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 28 November 2017
WANAFUNZI WANENA MAZITO JUU YA SHULE YA FEZA
Samweri John ni mwanafunzi alieitimu kidato cha 4 kwenye shule ya secondary ya Feza . ameushukuru uongozi pamoja na walimu kwa kuwapa elimu bora na ameaidi kuyafanyia kazi yote walio fundishwa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA SHULE YA SECONDARY YA FEZA ATETA NA WAITIMU WA KIDATO CHA 4
Mkurugenzi wa shule ya secondary ya Feza Ibraim Yunusi amewataka wanafunzi walioitimu kidato cha 4 wawe raia wema kwa jamii .amesema haya kwenye maafari ya 17 ya kuwaaga waitimu wa kidato cha 4 kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MWENYE KITI WA CCM WILAYA ATOA SIRI NDANI YA CCM
Mwenyekiti wa ccm wilaya Mwanaamisi Ally amesema siri ya mafanikio ndani ya chama cha ccm umoja na mshikamano .amesema aya kata ya kijichi wakati wa kumnadi mgombea udiwani Eliasa Mtarawanje
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI AFISA KILIMO AKITOA MAFUNZO KWA WAKULIMA
Afisa kilimo kutoka Temeke akiwapa mafunzo wakulima jinsi ya kulima kilimo bora
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAKULIMA WAPONGEZWA KWA MWITIKIO WA SEMINA
Mwenyekiti wa chama cha wakulima Dapwata amewapongeza wakulima kujitokeza kwa wingi kwenye semina . na ameiomba serikari iwasaidie pesa kwaajili ya kilimo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI MADIWANI WALIOUDHURIA
hawa ndio madiwani walioudhuria kwenye baraza la madiwani halmashauri ya Ilala
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
DIWANI WA UKONGA AHAIDI MAZITO
Diwani wa kata ya ukonga amesema watakusanya kodi kwa wingi ili kutengeneza shule, zahanati na miundombinu mbalimbali
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANA ILALA WATOLEWA MCHECHETO
Diwani wa halmashauri ya Ilala Sadi Kimji amewatoa ofu na mashaka wananchi wake kuwa barabara zote zitafanyiwa matengenezo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WANA HABARI WAAIDI MAZITO KATIKA KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMAWAJAWAZITO NA WATOTOWACHANGA
Mwana habari wa kepito tv na redio Kostantini Miambo amesema wataweka wazi maovu na madudu watakayo fanya wakunga,madaktari na manesi juu ya mamawajawazito na watoto wachanga
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
HALMASHAURI YA ILALA VINARA KWA KUSABABISHA VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO KWA MAKUSUDI
Nuru Mwamedi kutoka taasisi ya utepe mweupe amesema kuanzia mwaka2015 halmashauri ya Ilala aikutenga bajeti kwaajili ya dawa pamoja na vifaa tiba vya kabla na baada ya kujifunguwa mamamjamzito .pia kwamwaka 2017adi 2018 awakutenga bajeti yeyote kwaajili ya mamawajawazito na watoto wachanga ivyo kupelekea vifo vya mamawajwazito na watoto wachanga kuongezeka
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
SERIKALI KUU YATAKIWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAUGUZI
Bibi Rose ameitaka serikali ya Tanzania kuwalipa wakunga na wauguzi pesa ya kutosha na kutoa vifaa tiba na dawa kwa wakati . Lengo kupunguza vifo vya mamawajawazito na watotowachanga
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
HALMASHAURI ZATAKIWA KUWEKA BAJETI YA KUTOSHA
Msajili wa baraza la wauguzi na wakunga Rena Mfadhira amezitaka halmashauri zote hapa nchini kutenga bajeti za kutosha kwaajili ya kunusuru vifo vya mamawajawazito na watoto wachanga wakati wa kwenda kujifunguwa .amesema aya siku ya utepe mweupe
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA
Naibu waziri wa viwanda na biashara mwandisi Stera Manyanya akiwa kwenye picha ya pamoja na waitimu wa chuo cha CBE
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
CHUO CHA CBE CHAJA NA MIKAKATI KABAMBE
Mkuu wa chuo cha CBE ameaidi kuwa tafiti walizozifanya na watakazofanya zinatatua na zitatatua matatizo yaliopo katika jamii ametoa wito kwa waitimu kuto bweteka na kuwa wazarendo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAITIMU WA CHUO CHA CBE WATAKIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO
Naibu waziri wa viwanda na biashara mwandisi Stera Manyanya amewataka waitimu wa chuo cha CBE kuwa chachu ya maendeleo katika kuelekea Tanzania ya viwanda amesema haya kwenye maafari ya chuo cha CBE jijini Dar es salaam
WATU WENYE ULEMAVU WATAKIWA KUTOKATA TAMAA
Masho Mbise ni mjasiliamali mwenye changamoto ya viungo ameitaka jamii ya kitanzania asa wenye ulemavu kutokata tamaa na kubweteka juu ya ulemavu wao na badala yake wachangamkie fursa mbalimbali za kujikwamuwa kimaisha na kiuchumi . ambako yeye anatengeneza bidhaa mbalimbali zitokanazo na shanga ambazo zinamuingizia kipato na sasa anawafundisha wazazi na walezi wa watotowenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ospitali ya Taifa ya muhimbili kitengo cha Moi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATANZANIA WAFUNDWA
Joyce Gidioni ni mlezi wa wanafunzi wenye ulemavu kwenye shule ya msingi Jeshi la wokovu amewaasa watanzania wawaeshimu,wawajali, wawapende,wawathamini na wawape haki zote za msingi watoto wenye ulemavu kwani wana uwezo na juudi kubwa za kufanya vizuri kimasomo na kutengeneza vitu mbalimbali
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WATAKIWA KUACHANA NA MILA NA DESTURI POTOFU JUU YA WATOTO WENYE ULEMAVU
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAZAZI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI WATOKWA NA MACHOZI MAZITO
Mwajuma Abdallah ni mmoja ya wazazi wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ameitaka serikali kuwasaidia gharama ya matibabu ya watoto wao na pesa za kujikimu kwa chakula, mavazi na nauli wanapo wapeleka watoto wao ospitalini
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WATAKIWA KUNUSURU WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI
Mkurugenzi mkuu wa kitengo cha Moi kwenye ospitali ya Taifa ya muhimbili ameitaka jamii ya kitanzania kuweza kugharamia matibabu ya madawa na vifaa tiba kwaaajili ya kunusuru na kuokoa maisha ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi . kwani gharama zake ni kubwa ivyo wazazi na walezi wa kitanzania wanashindwa kuzimudu. ameipongeza taasisi ya Civil society foundation kwa kutoa mchango wao . pia amewapongeza wadau wengine kwa michango waliotoa .kifaa kimoja gharama yake ni shilingi laki 2 watoto 100 wanatakiwa kufanyiwa upasuaji gharama yake ni milioni40 .pesa zilizopatikana milioni20 ivyo amewataka wadau wazidi kuchangia
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA CIVIL SOCIETY FOUNDESHEN ATOA MANENO MAZITO
Mkurugenzi wa Civil society foundeshen Francis Kiwanga ameitaka jamii ya kitanzania watoe michango yao ya ali na pesa ili waweze kusaidia watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kwenye ospitali ya Taifa ya muhimbili kitengo cha Moi. amesema haya wakati alivyokabidhi kiasi cha pesa milioni 8 .kwa mkurugenzi mkuu wa Moi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Tuesday, 7 November 2017
MKURUGENZI WA DODOMA AJA NA MIKAKATI KABAMBE
Mkurugenzi wa Dodoma GODWINI KUNAMBI amesema wamejipanga kikamilifu katika kuitengeneza Dodoma mpya kwa ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na upatikanaji wa maji kwa uhakika pamoja na umeme na ujenzi wa viwanda . Lengo ni kumuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZIRI MAKAMBA APIGWA NA BUTWAA
Waziri wa muungano na mazingira JANUARY MAKAMBA ameshitushwa na upotevu wa maji nchini Tanzania ivyo amewataka watendaji wake wa kazi watengeneze miundombinu ya maji aya yawafikie wakulima
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
GRADNESI APONGEZA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAJI
GRADNESI SALEMA ameipongeza benki ya Dunia kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali kwaajili ya udhibiti wa maji
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BENKI YA DUNIA YAWATOA OFU WAKULIMA
Mwakirishi mkazi wa benki ya dunia amewaakikishia wakulima wa kitanzania kwa kuwapa mafunzo zana za kulimia na vifaa vya umwagiliaji
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATOTO WAFANYA MAAJABU YA DUNIA
Muumini wa Azania front MAIKO KAMAZIMA ameweza kujifunza kwa watoto walivyofanya alaiki na kuonesha upeo mkubwa amesema haya wakati watoto wavyopata ubarikio wa kipaimara uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATANZANIA WATAKIWA KUOMBEA AMANI
Mchungaji wa KKT BONIFASI KOMBO amewataka watanzania wazidi kuiombea amani nchi yetu na kumuombea maisha mazuri na uongozi mzuri rais MAGUFULI na watendaji wake wote amesema haya wakati wa ubarikio wa watoto wapatao 4800 kwenye uwanja wa Taifa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWINJIRISTI AWAPONGEZA WARUTRHERANI
Mwinjiristi MAKIMIRANI RIMO amesema tukio walilofanya warutherani kwa walivyo wabarikia watoto wa kipaimara kwa pamoja kwenye uwanja wa Taifa ni la kupongezwa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
UGONJWA WA KANSA WAKUMBWA NA CHANGAMOTO
Mwanafunzi wa chuo cha Muhimbili SALHA SUMANI amesema tabia ya watu kushindwa kwenda kuangalia afya zao ni kikwazo cha kupambana na ugonjwa wa KANSA .pia amewataka watanzania wabadilike wapende kusoma masomo ya udaktari ili kuwepo na madaktari wa kutosha kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa KANSA . yeye ameamua kusomea udaktari kwaajili ya kunusuru vifo vitokanavyo na KANSA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KANSA YATIBIKA
Mfamasia SAKINA KALIMALI amewataka watanzani wawe wenye kuangalia afya zao mara kwa mara . ususani KANSA ikijulikana mapema inazuilika na kutibika pia amewapongeza watanzania waliojitokeza kwa wingi kwenye Hospitali ya IBRAIM HAJI kwaajili ya kufanya uchunguzi wa KANSA
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MTOTO WA JICHO KUWA ISTORIA TANZANIA
Mratibu wa kambi ya macho ya Bilali SHARIFU amesema wameamuwa kutoa huduma ya macho bule kupima na tiba lengo kutokomeza matatizo ya macho nchini Tanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SERIKALI YATAKIWA KUTEKELEZA KWA VITENDO MIKATABA YA KIMATAIFA
ANTONI BONIFASI amesema ni vyema serikali itekeleze kwa vitendo mikataba ya kutokomeza maswala ya kutokomeza ukatili wa kijinsia . kwani swala la umiliki wa ardhi na kujikwamuwa kiuchumi ni tatizo kubwa kwa wanawake Tanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
ELIMU BORA KWA WATOTO UTOA MAJAWABU
MANPEET SINGH ni mshiriki wa kongamano lililoandaliwa na taasisi ya chuo cha AGAKHAN amesema watoto wakipewa elimu bora itasaidia wao kujikombowa kiuchumi na jamii ikielimishwa juu ya kupambana na ukatili wa kijinsia itawezesha kupambana na kupiga vita unyanyasaji kwa watoto
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
NDOA ZA UTOTONI NI SHIDA AFRIKA
OKIA HENRY STANLEY ni mshiriki wa kongamano lililoandaliwa na taasisi ya chuo cha AGAKHAN amesema ndoa za utotoni katika bara la Afrika ni chanzo cha watoto kushindwa kufikia malengo yao. ivyo amesema kongamano ili litawakombowa watoto wa kiafrika
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TAASISI YA CHUO CHA AGAKHAN KUNUSURU WATOTO
Mkuu wa chuo cha AGAKHAN nchini Tanzania prof JOO LLUGANA amesema wameamuwa kuanzisha kongamano la siku 3 .lengo kuwakombowa watoto wa kiafrika na ukatili wa kijinsia ambako jumla ya nchi 35 zimekutana kwenye kongamano ili kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Saturday, 4 November 2017
WATEJA WATOLEWA MCHECHETO
MBANGA FEDRIKI amewatoa ofu watanzania kuusu bidhaa za Shimono kuwa ni bora wasisite kununua popote wazionapo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WATANZANIA WATAKIWA KUTUMIA BIDHAA ZA KAMPUNI YA SHIMONO
Meneja masoko wa kampuni ya Shimono SIPRIANI KAGUO amewataka watanzania watumie bidhaa za Shimono kwakuwa bidhaa zao ni bora na mzuri .amesema haya kwenye maonyesho yanayo fanyika kwenye ukumbi wa Daimondi jubree jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI WAZIRI WA AFYA,JINSIA,WATOTO NA WAZEE AKIKATA UTEPE
Waziri UMMY MWALIMU akikata utepe kwenye makao makuu ya ofisi ya mamlaka ya chakula na dawa [TFDA] kuashiria uzinduzi wa MAHABARA HAMISHIKA umefunguliwa rasmi
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)