MBUDIFO
Tuesday, 7 November 2017
WATANZANIA WAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KWAAJILI YA UCHUNGUZI WA KANSA
Mwanafunzi wa chuo cha Muhimbili ZAINABU ALLY amesema anasikitishwa kwa kiasi kikubwa kwa idadi kubwa ya watu wa kitanzania wanavyokufa kutokana na ugonjwa wa KANSA ivyo amewataka watanzania waepukane na vitu vinavyosababisha KANSA . Pia amesema viwanda ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha KANSA amesema haya kwenye hospitali ya IBRAIM HAJI
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment