Masho Mbise ni mjasiliamali mwenye changamoto ya viungo ameitaka jamii ya kitanzania asa wenye ulemavu kutokata tamaa na kubweteka juu ya ulemavu wao na badala yake wachangamkie fursa mbalimbali za kujikwamuwa kimaisha na kiuchumi . ambako yeye anatengeneza bidhaa mbalimbali zitokanazo na shanga ambazo zinamuingizia kipato na sasa anawafundisha wazazi na walezi wa watotowenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ospitali ya Taifa ya muhimbili kitengo cha Moi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment