Tuesday, 28 November 2017

WATANZANIA WATAKIWA KUACHANA NA MILA NA DESTURI POTOFU JUU YA WATOTO WENYE ULEMAVU

Mwalimu Isabera Mwankenja Mwansoje  kutoka shule ya msingi jeshi la wokovu amewasii watanzania kuachana na mila na desturi  potofu juu ya watoto wenye ulemavu kwa kuamini ni mkosi katika familia na kuwafungia ndani. Ivyo amewataka wawapeleke mashuleni wapate elimu bora ili wajikwamuwe kiuchumi . amesema haya  kwenye ospitali ya Taifa muhimbili kitengo cha Moi siku ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi . pia amewapongeza taasisi ya Civil Society foundation kwa mchango wao na amewaomba wazidi kuendelea kutoa


habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment