Mkurugenzi mkuu wa kitengo cha Moi kwenye ospitali ya Taifa ya muhimbili ameitaka jamii ya kitanzania kuweza kugharamia matibabu ya madawa na vifaa tiba kwaaajili ya kunusuru na kuokoa maisha ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi . kwani gharama zake ni kubwa ivyo wazazi na walezi wa kitanzania wanashindwa kuzimudu. ameipongeza taasisi ya Civil society foundation kwa kutoa mchango wao . pia amewapongeza wadau wengine kwa michango waliotoa .kifaa kimoja gharama yake ni shilingi laki 2 watoto 100 wanatakiwa kufanyiwa upasuaji gharama yake ni milioni40 .pesa zilizopatikana milioni20 ivyo amewataka wadau wazidi kuchangia
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment