Mwekiti wa kamati ya ukaguzi na usimamizi wa virutubishi ya bodi ya ushauri ya wizara [MAB] kwa TFDA bi ZAINA THABITI ameswema wanaunga mkono jitiada za serikali katika kudhibiti dawa bandia amesema haya wakati waziri wa afya UMMY MWALIMU alipozinduwa MAHABARA HAMISHIKA kwenye ofisi za TFDA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment