Mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya chakula na dawa[TFDA] HIIT B.SILO amemwambia waziri wa afya UMMY MWALIMU kuwa wao TFDA watafanya kazi kwa umakini na uweredi zaidi. lengo kumuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda. pia ameishukuru serikali kwa kuwapa kibali cha kuajili watumishi 49 kwani wakaguzi 27 wataenda kufanya kaguzi katika kanda na vituo vya forodha na wachunguzi wa mahabara 18.Pia amesema TFDA watapambana katika kudhibiti dawa bandia na wataondowa changamoto ya uchache wa dawa ingawa ni changamoto katika Dunia
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment