Saturday, 4 November 2017

WAZIRI WA AFYA AWAFUNDA TFDA KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA

Waziri wa afya ,jinsia,watoto na wazee  UMMY MWALIMU amewataka watendaji wa mamlaka ya chakula na dawa [TFDA] wasiwe kikwazo cha mafanikio kuelekea Tanzania ya viwanda na badala yake wawe chachu katika kuelekea Tanzania  ya viwanda na uchumi wa kati . kwa kutowa vibari kwa wakati, kuepukana na rushwa na wawe wazarendo amesema haya kwenye makao makuu ya TFDA jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa MAHABARA HAMISHIKA

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment