Mwenye kiti wa jukwaa la katiba EDWINI MWAKAGENDA amesema baada ya kuzuiliwa na jeshi la polisi kutofanya maandamano tarehe 30/10/2017 . wao jukwaa la katiba wanaenda mahakamani kwaajili ya kudai haki yao ya msingi kwaajili ya kufanya maandamano ambayo yamezuiliwa na jeshi la polisi Mwwenyekiti wa jukwaa la katiba EDWINI MWAKAGENDA amesema sababu tatu zilizotolewa na jeshi la polisi azina mashiko .zikiwemo kutothibitisha kwa mgeni rasmi kushiriki kwenye maandamano, umbali na kuanza kwa mitihani ya Taifa ya kidato cha 4. hataivyo EDWINI MWAKAGENDA amesema lengo la jukwaa la katiba kufanya maandano ni kumpongeza rais MAGUFULI kwa utendaji wake wa kazi na kumfikishia ujumbe wa kufufuwa na kuendeleza mchakato wa katiba mpya
hhabari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment