Mwanafunzi wa chuo cha Muhimbili SALHA SUMANI amesema tabia ya watu kushindwa kwenda kuangalia afya zao ni kikwazo cha kupambana na ugonjwa wa KANSA .pia amewataka watanzania wabadilike wapende kusoma masomo ya udaktari ili kuwepo na madaktari wa kutosha kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa KANSA . yeye ameamua kusomea udaktari kwaajili ya kunusuru vifo vitokanavyo na KANSA
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment