Tuesday, 28 November 2017

SERIKALI KUU YATAKIWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAUGUZI

Bibi Rose ameitaka serikali ya Tanzania kuwalipa wakunga na wauguzi pesa ya kutosha  na kutoa vifaa tiba na dawa kwa wakati . Lengo kupunguza  vifo vya mamawajawazito na watotowachanga

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment