Anna Makinda amewataka wanawake kuchangamkia Fursa.
Spika wa Bunge mstaafu Anna Makinda amewataka wanawake hapa nchini kuchangamkia fursa kwani Serikali imeondoa tozo mbalimbali za kikodi kwa upande wa kilimo kwenye bajeti iliyosomwa na waziziri wa fedha lengo lakuondolewa kodi hizo ni kumkomboa na kumuinua kiuchumi mwanamke amesema haya Posta Jiji Dar es Salaam wakati wakuwasilishwa bajeti iliyosomwa na waziri wa fedha New Africa Hotel.
Habari Picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment