Tuesday, 4 June 2019
SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATOA MAAGIZO MAZITO KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
Sheikh Alhaji Mussa Salmu ameitaka jeshi la Polisi kuyakamata magari yatakayo wapakia vijana wa kike na wakiume wanakao helekea bichi siku ya sikukuu ya IDD, Pia amewataka wazazi na walezi kuwapiga marufuku watoto wao kuelekea bichi kwakuwa wakienda huku wanafaga vitendo viovu na kusababisha maambukizi ya ukimwi.
Amewataka Watanzania kutii sheria bila ya shuruti kwa kutotumia mifuko ya plastiki na kujiazali juu ya ugonjwa wa kipindupindu pamoja na dengue.
Amesema haya jijini Dar es salaam maeneo ya Lumumba kazini kwake.
Habai picha
Ally Thabiti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment